SIMULIZI YA KWELI AMBAYO ITAKUFANYA UBURUDIKE
UTANGULIZI
Katika kijiji cha mkuzi mkoani tanga Stephano kijana ambaye alikuwa akiishi bila wazazi, mama yake alifariki wakati yupo mdogo huku baba yake akiukataa ujauzito wake.
Stephano akiwa tangu mdogo alilelewa na bibi yake mzaa mama yake ambaye ameondoka duniani mpaka alipotimiza miaka kumi naye akafariki dunia.
Urithi wa bibi faida kwa mjukuu usemi huu ulijitokeza baada ya bibi yake kufariki aliacha chumba kimoja ambacho aliishi stephano mpaka alipomaliza darasa la saba
Maisha yake yalikuwa ni yakutafuta kwa kufanya kazi ndogo ndogo ambazo zilimuingizia kipato,
Matokeo ya darasa la saba yakatoka na yeye alichaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya mkuzi iliyopo kinijini hapo
Alijua nini maana ya elimu aliweza kutafuta kiasi cha pesa na kununua kitambaa na kushona sale za shule na kujiunga shuleni hapo.
Stephano alikuwa analiweza vyema somo la mathematics ambalo lilikuwa ni ugonjwa wa taifa, Somo hilo lilipelekea kutambulika na kupendwa na wanafunzi wengi.
Uwezo wake wa kuweza ku solve mathematics unamkutanisha na msichana ambaye anatokea kwenye familia ya kitajiri

SEHEMU YA KWANZA
SIMULIZI WHY ME
NA: STEPHANO MWAIMU
CONTACT 0715293971
Ilikuwa jumatano siku ambayo headmaster aliingia madarasa yote na kuwamulu kila mwanafunzi ambaye anafahamu ajamaliza ada ya ahule arudi nyumbani.
Zoezi hilo liliendelea kila shule nzima hatimaye likafika kwa form three.
Headmaster alisimama mlangoni na kuongea kwa sauti ya juu
Zoezi hilo liliendelea kila shule nzima hatimaye likafika kwa form three.
Headmaster alisimama mlangoni na kuongea kwa sauti ya juu
"Humu ndani kuna wanafunzi wanajifanya manunda hivyo kama unajua haujamaliza kulipa ada naomba nenda nyumbani kakae na wazazi wako"
Darasa lilikaa kimya kwa muda wote wakimuangalia mwalimu huku wanafunzi wote wakigeukiana, walimu aliendelea kuongea kwa ukali na
"Inamaana sijaeleweka au munadharau, wenyewe munajijua ambao munadaiwa nikisema nianze kuita majina utapata adhabu ya viboko vitatu, gafla alisimama mvulana mmoja na mwalimu akamuuliza
"Unaitwa nani?" kijana
"Stephano"
Mwalimu alitikisa kichwa na kumwambia
"Tena wewe unaonekana msumbufu sana ulikaa kimya inamana nisingetaja habari za adhabu usingetoka sindio"
"Stephano"
Mwalimu alitikisa kichwa na kumwambia
"Tena wewe unaonekana msumbufu sana ulikaa kimya inamana nisingetaja habari za adhabu usingetoka sindio"
Stephano alijibu kwa sauti ya upole headmaster hakuwa na la kuongea zaidi ya kumuuliza maswali
"Nilichokiongea si umekisikia kama hujamaliza ada nenda kwenu hapa staki kukuona"
"Mwalimu kiasi cha pesa kilichobakia naombeni munipe wiki moja tu nimeshindwa kwenda kufanya kazi ningekosa muda wa kujiandaa na mtihani wa mwezi wa tatu"
Mwalimu alimuangalia na kumwambia "Ukiferi ndio vizuri mzazi wako ataona uchungu"
"Najisomesha mwenyewe na matokeo yakiwa mabaya mimi ndiye ninayeumia hivyo naomba univumilie"
Stephano alijitetea mbele ya mwalimu lakini haikusaidia kitu, Mwalimu alishikilia msimamo wake kitendo kilichomfanya Stephano atokwe na machozi stephano alizidi kuomuomba mwalimu ili aweze kumsikiliza ilikuwa sawa na kazi bure, alizidi kuongea huku akiwa analia
"Mwalimu nakuomba nipe wiki moja tu nitakuwa nimeshazilipa hizo pesa nisaidie mwalimu kwani nitakapokaa nyumbani masomo yatakuwa yananipita na itapelekea kukosa mitihani inayoanza jumatatu"
Kulia kote ilikuwa ni kazi bure kwani haikusaidia kitu mwalimu alishikilia uwamuzi wake uleule tena hawamu hii aliongea kwa ukali
"Beba kilichokuwa chako nenda nyumbani sitaki kukuona eneo hili ukija uje na ela ya ada"
Hali hiyo ilimfanya Anna kuangua kilio tena kwa sauti ya juu kitendo kilichofanya darasa zima limgeukie yeye na kila mwanafunzi akabaki na maswali kichwani,
Akuna aliyefahamu kilichokuwa kinamliza Anna, kila mtu alikuwa anajiuliza amekutwa na nini kwani Anna ni msichana ambaye anaweza kukabiliana na kitu chochote, leo anatokwa na machozi jambo ambalo lilimshangaza kila mwanafunzi .
Kwa hasira alitoka nje huku mwalimu na wanafunzi wakasahau mkasa wa stephano wote wakawa wanamtazama Anna.

Baada ya kuona akuna anayemsikiliza wala akuna anayejari kilio chake Stephano alichukua mfuko wake wa madaftari na kutekeleza amri ya walimu wake ambaye muda wote alikuwa amesimama mlangoni akimtaka aondoke darasani.
Alipiga hatua chache akiwa bado
maeneo ya shule alishitushwa sauti ya kike ambayo ilisikika ikimuita
Baada ya kugeuka nyuma alimuona Anna akimkimbilia.
"Inamaana na huyu anadaiwa ada ya shule sasa kilichokuwa kinamliza ni kipi"
Alijiuliza na kusahau kuwa hata yeye alitokwa na machozi darasani, Anna alifika na kumwambia

"Pole sana stephano"
Stephano alitabasam na kumwambia
"Hayo yote huwa yanatokea katika maisha ya binadam nishapoa na mbona ni kitu cha kawaida sana"
"Mhh kawaida?"
"Ndio ila tuachane na hayo nataka niwahi nyumbani nijue jinsi gani ya kuweza kuitafuta ada ya shule kwani ulikuwa unasemaje?"
"Samahani kwa kukuchelewesha ila nilikuwa naomba kukuuliza unadaiwa kiasi gani cha ada?"
Stephano alishtuka na kumuuliza
"Inamaana hicho ndicho kilichokutoa darasani ukakimbiza miguu yako mpaka hapa aya ukishajua itakusaidia nini?"
"Samahani kama nitakuwa nimekukera na sijakusimamisha ili tugombane hapana, ila nataka nikusaidie kiasi kidogo ambacho utaweza kulipa ada ya shule kama hutojali"
"Sikia wewe binti wewe hapa shuleni umekuja kusoma au kuwasaidia watu, hapa shuleni wewe ni mgeni hata miezi sita haujafikisha hivyo angalia yako usiangalie yangu huo muda wako ambao upo hapa ni bola ungeweza kushika definition hata mbili najua zingekusaidia kwenye mtihani wa mwezi wa tatu"

Alipomaliza kuongea maneno vile aligeuka na kuondoka Anna alimkimbikia na kumshika mkono na kumwambia
"Najua umeongea mengi sana ila hata wewe ulijaribu kijitetea wakati mwalimu alivyokuwa anakwambia uwondoke darasani, kuna maneno ambayo uliyaongea binafsi yangu yameniuma ndani ya moyo nimekuona ni mtu ambaye unajua nini maana ya elimu ingekuwa mwanafunzi mwingine angebeba begi lake na kuondoka tu.
Aliongea Anna kiupole huku akimwangalia Stephano usoni
Aliongea Anna kiupole huku akimwangalia Stephano usoni
"Nimekwambia maswala ya ada niachie mwenyewe hapo ulipo wewe unasaidiwa na wazazi wako alafu na wewe unajifanya mama huruma ukitaka kunisaidia mimi tafuta mali yako na sio ya baba yako, ada yangu najilipia mwenyewe na mimi ndiye ninaejua kuwa nadaiwa kiasi gani cha pesa"
Alipomaliza kuongea maneno yake aliutoa mkono wa Anna uliokuwa umemshika kwa nguvu na kuondoka zake.
Kiunyonge aligeuza kurudi zake darasani. baadhi ya wanafunzi walimuulia kama alikuwa anaumwa aliwajibu kwa kutikisa kichwa hakutaka kuongea na mtu yoyote, siku hiyo masomo hayakupanda kabisa mawazo na fikra zake zote zipo kwa Stephano.
Siku iliyofuata wanafunzi wote walikuja shuleni kasoro stephano ambaye alikuwa anadaiwa ada ya shule.
Kutokuwepo kwa Stephano kulimnyima raha kabisa Anna aliamua kutoka kwenye dawati lake nakuhamia kwenye lile dawati la Stephano.
Muda mchache mwalimu wa mathematics aliingia darasani na kutoa swali ambalo darasa zima lilikaa ndipo mwalimu alipo ongea kwa sauti
"Stephano try"
Na alipogeuka upande anaokaa stephano alikutana na sura ya mwanamke na sio stephano ndipo mwalimu alipouliza kwa sauti
"Stephano yuko wapi?"
Mwalimu alijibiwa na frank ambaye alikuwa ni rafiki mkubwa sana wa stephano
"Amerudishwa nyumbani ajamaliza kulipa ada ya shule"
"Basi kama stephano hayupo dada yetu ambaye umekalia kiti cha stephano kwa niaba yake au kwa heshima yake njoo utusaidie kufanya hili swali"
Aliongea mwalimu huku akiwa anarusha rusha kipande cha chaki kilichopo mkononi mwake
Anna hakuongea kitu chochote huku kila mtu akimuangalia yeye, darasa lilikaa kimya kwa muda mchache na mwalimu akacheka na kusema
"Inamana darasani hamna hata wa kujaribu?"
Kabla ya kuendelea kuongea kengere ya mapumziko ikagonga aluendelea kwa kusema
"Nendeni mapumziko mukirudi nataka jibu vinginevyo darasa zima nawachapa"
Alipomaliza kusema vile alichukua kitabu chake na kutoweka darasani ndipo mwanafunzi mmoja alipo sema kwa sauti ya juu

"Tusioweza mathematic tunanyanyasika"
Darasa zima likacheka na mwengine akajitokeza na kusema
"Angekuwepo stephano mapema hilo swali la ubaoni lingekuwa limeshafanywa,
twendeni tukale tukirudi tuje kupigwa manake mpaka sasa sijaona ambaye amejitolea kufanya hilo swali na sir jafari munamjuaga kwa kupenda sifa lazma aje kweli"

Baadhi ya wanafunzi walivyokuwa wanazidi kuongea maneno Anna moyo wake ulikuwa unaumia sana, akapata wazo la kwenda kwa mwasibu ili aweze kujua Stephano kuwa anadaiwa kiasi gani cha pesa
Aliingia mpaka ofisini huku akiwa anajiuliza maswali mengi kichwani
"lakini nitamwanzaje kumuliza nakiniuliza unataka kujua ili iweje nitasema nini?"
Aliingia mpaka ofisini huku akiwa anajiuliza maswali mengi kichwani
"lakini nitamwanzaje kumuliza nakiniuliza unataka kujua ili iweje nitasema nini?"
alijiuliza na kusema
"Potelea mbali nitajua huko huko"
Aliingia ofisini kwa mwasibu wa shule na kumkuta mwasibu akiwa na headmaster wakipiga mahesabu ambayo Anna akuweza kufahamu kwa haraka
"Potelea mbali nitajua huko huko"
Aliingia ofisini kwa mwasibu wa shule na kumkuta mwasibu akiwa na headmaster wakipiga mahesabu ambayo Anna akuweza kufahamu kwa haraka
"Una shida gani binti"
Ilikuwa ni sauti ya muhasibu ambaye alionekana yupo bize sana, Anna alijitoa mshipa wa aibu na kuuliza
Ilikuwa ni sauti ya muhasibu ambaye alionekana yupo bize sana, Anna alijitoa mshipa wa aibu na kuuliza
"Samahani mwasibu kuna mvulana ambaye juzi amerudishwa nyumbani kwa sababu ajamaliza ada hivyo nilitaka kujua ni kiasi gani ambacho anadaiwa"
"Jina anaitwa nani?"
"Stephano"
Alipotaja jina la mwanafunzi huyo headmaster alishtuka na kuvua miwani yake na kuiweka mezani na kuongea kwa ukali
"Unasemaje wewe? hivi wewe si mgeni hapa shuleni hata miezi sita haujafikisha na nimekupokea mimi mwenyewe kwa mikono yangu huyo unaetaka kujua anadaiwa kiasi gani ni nani yako"
"Unasemaje wewe? hivi wewe si mgeni hapa shuleni hata miezi sita haujafikisha na nimekupokea mimi mwenyewe kwa mikono yangu huyo unaetaka kujua anadaiwa kiasi gani ni nani yako"
Anna alinyamaza kwa sekunde chache na headmaster alipiga meza kwa hasira na kuongea kwa
ukali hali iliyomfanya Anna kuingiwa na uwoga na kukosa chakuongea, akiwa bado amesimama pale mlangoni headmaster aliongea kwa ukali
" Toka rudi darasania na kesho nitamuita mzazi wako"
************ITAENDELEA**********
No comments