PENZI LA DADA - 21
nilianza kunawa huku macho
yangu kwa Coleen nilionyesha wazi kua
namuogopa hata muonekano wa sura
ulionyesha anajiuliza kwanini naogopa
kumuangalia baada ya kumaliza kunawa,
turirudi na kukaa kitandani
Coleen akaanza kwani umeota nini John"?
hamna ni ndoto ya kawaida tu"!?
John jinsi unavyoonekana umeogopa sana
lazima ilikua ni ndoto ya kutisha sana hata
kuniangalia john unaogopa"
aaaaah! hamna ilo tu ndilo nililoweza kusema
kwani nilikua siwez kudanganya uso wangu
ulionyesha wazi kua naongopa
"John niambie nn uliota unanipa wasiwasi"
baada ya kuona sasa nnakoelekea naweza
kuulizwa maswali mengi nikaamua kutunga tu!
ili nikwepe maswali
"niliota tumepata ajali niliogopa sana ndio
mana unaniona nna waswas!"
"ooooh! John basi mm nipo hapa ilikua nindoto
isikuumize sana"
basi tukakumbatiana lakini bado wasiwasi
wangu haukunitoka nikawa nahisi itakuaje
endapo siku Coleen angenikuta namfanyia vile
ambavyo hua namfanyia angenipiga kama
alivyofanya!?
swali hilo halikuacha kunisumbua akilini
hata baada ya masaa 2 kupita Coleen
akapitiwa tena na usingizi mm nilikua bado
nimekaa tu! pembeni namuangalia ila
haikuchukua mda sana na mm nikapitiwa
nikiwa nimekaa katika kiti kidogo pembeni ya
kitanda nikaja kushtuka baada ya Sweeet
kunishtua asubuhi amkaaa! mjomba ndio nami
nikaamka kisha nikasalimiana na watoto Coleen
nae akaja, nikasalimiana nae kisha tukaona
mda wa kuondoka umefika kwani ilikua baada
ya kutoka hapo tunaenda kulala Hotelini karibu
kabisa na mji hyo hotel ilikua ya kisasa na
michezo mingi ya watoto huko nako Coleen
alishaweka Booking na hyo inamaanisha
itanibidi nilale tena na COLEEN basi safari hii
sikua na furaha hata kidogo hadi watoto
walilijua hilo kwani mara kwa mara walikua
wakiniuliza kwanii siko sawa.!
Basi baada ya kufika saa 4 tulienda mapokezi
tukakabizi funguo na kusaini ktk kitabu chao
kisha tukaanza safari ya kuelekea mjini ambako
nje kidogo tu ya mji ndipo ilipo hyo hotel
safari ilikua ndefu kwani ilituchukua takriban
masaa matano kufika pale hotelini tulifika wote
tukiwa tumechoka tulienda mapokezi moja kwa
moja tuandikisha majina yetu kisha tukapewa
mtu wa kutuelekeza vyumba vyetu ambavyo
vilikua vimeongozana kisha tukaweka mabegi
na kujiandaa kwaajili ya kurudi chini kuoga,
haraka haraka tulijiandaa wakati tunatoka
chumbani kwetu mm na coleen watoto tayari
walikua washarudi chini kwenye michezo yao
sisi tulienda ktk mabwaa ya kuogolea ya
wakubwa wwengine wakia wanaogolea baharini
kwani hyo bahari hotel ilikua karibu na bahari
na ilikua na fukwe safi sana kwahyo watu
wengi walienda kuogolea baharini katika la
kuoglea hukua tulibaki wachache baada ya
kukaa na Coleen kwa mda mrefu nikawa
nishasahau kuhusu ule mkasi wa ndoto na
wakati tuko pale kwenye bwawa tunaogelea
ndio kabisa nikajisahau kwani tuliogolea hadi
tukawa tumebaki wawili baada ya watu
kukimbilia baharini aambako kulikua na watu
wanaoshindana kuogelea basi mimi na Coleen
tuliendelea kufuhia majini huku tukirushiana
maji na kushindana wenyew majini mda wote
huo Colen alivaa swimsuit kwahyo nilikuaa
namuona sehemu kubwa ya mwili wake licha ya
kua nilikua naoga na kupotzea kama sioni
lakini nilikua naona kila kinachoendelea kuna
mda wakati Coleen anajaribu kunipita wakati
tunashindana nikamshika ili nimzuie wakati
namshika nikawa nimemshika kwenye maziwa
aligeuka na kuniangalia kama mtu ambae
anatamani kile kitu kiendelee basi nikamshika
tena na kumsogeza karibu kama nataka
kumbusu kweli mapenzi yana nguvu nilisahau
kabisa kuhusu ile ndoto wakati nimemsogeza
karibu napeleka lips zangu akasema John
hapana na kunisogeza nyuma hii sio sawa"
kisha akaondoka na kuelekea chumbani na mm
nikatoka kwenda kumfuata baada ya kufika
chumbani nilikuta akiwa kakaa kitandani
nilimsogelea kisha akaanza John hii sio sawa"
nimepoteza mume wangu naaogopa
unachotaka kufanya unajua haairuhusiwa John
mm dada yako"
nikamwambia nakupenda Coleen nilijikuta
natamka tu! hlo neno bila kufikiria nilisogea
karibu na kumshika Coleen..
Itaendelea....

No comments