PENZI LA DADA - 24
Unasemaje Coleen????
"nna mimba john"
"umehakikisha kweli"
"ndio nilipima na kile kipimo cha kupima
menyew nikawa siamini nikaenda hospital
nikaambiwa nina mimba ya wiki miwili"
"wow! ahsante Coleen"
"John unasemaje"?
"ahsante kwa kunibebea kiumbe changu"
"John unadhani tutaenda kujibu nn kwa mama
na Jake naa Jacob"?
"wale ni ndugu zetu hata iweje hawawezi
kututenga"
"lakini John......."
"shhhhhh....Coleen usijali waatatuelewa"
"sawa lakini naogopa"
"usijali tutaenda nikipata likizo"
"basi kwa furaha niliyokua nayo nikamshika
Coleen na kutoka nae kwa watoto mana walikua
na wasiwasi sana" "tulipofika watoto walifurahi
kumuona Coleen"
"wakaanza kumuuliza Mama unaumwa"?
"coleen akajibu hapana nishapona ilikua ni
tumbo tu!"
watoto wakawa na furaha zaid kusikia hivyo
Kesho yake nilienda Ofisini lakini kuliko
ilivyokua kawaida nikawa na mawazo ya
kufikiria itakuaje mtoto akizaliwa jinsi ya
kumtunza marafiki zangu mda wote
walinisimulia ugumu wa kua na mtoto haswa
wa kwanza kwani Coleen alikua na watoto
wawili kwahyo kwake alikua na uzoefu wa
kutosha tu! kumtunza mtoto basi ghafla !
ofisini alifika katibu muktasi wangu(secretary)
"BOSS mbona leo uko hivyo"?
"nilisita lakini alikua mtu wangu wa karibu
sana ilinibidi nimwambie Coleen ana mimba"
wow JOHN hongera"
nilijibu ahsante ila laiti ungejua"!
nilijisemea kimoyomoyo mana Coleen kua na
mimba haikua tatizo ila tatizo Coleen ni kuwa
Coleeen alikua ni dada yangu tena wa baba
mmoja mama mmoja ........
............miezi minne baadae......
Baada ya miezi baadae minne kupita ndipo
nilipta likizo kwa mara ya kwanza mimi na
Coleen tuliona huu ndio wakati muafaka wa
mimi na Coleen kwenda nyumbani kuaambia
mama nna ndugu zetu wawli ambao ni
mapacha.....
ulikua nii uamuzi mgumu kwetu lakini ilibidi
twende tukawaambie ukweli basi tulipiga simu
nyumbani tukamwambia mama kua sisi
tungeenda jumapili kisha tukawapigia na ndu
zetu jake na jacob tukawaambia nao waje
nyumbani kwani tuna kikao............
siku zilipita huku mimi na Coleen tukiendelea
kufurahia mapenzi yetu kwani tangu ashike
mimba ikawa karibia kila siku tunakutana
kimwli kunna utofauti sana wa kufanya
mapenzi na mwanamke aliye na mimba kwani
ilibidi tuwe makini lakini nilikua nikifurahi
sana jumapili haikua mbali nayo ikawa
imewadia na wakati wa mimi na Coleen kwenda
kuonana na ndugu zetu ulikua umefika bila
kuchelewa asubuhi na mapema tukaanza safari
mimi, Coleen na watoto tulitembea karibu
masaa manne kwa gari ndio tukawa tumefika
nyumbani basi mimi nilishuka kwenye na
kwenda upande wa pili kisha nikafungua
mlango na Coleen akashuka kwakua ilikua
tayari ni mimba ya miezi 4 na wiki 3 ilikua
ikionekana kirahisi wakati Coleen, anashuka
ndani ya gari mama alikua kashatoka nje
kutupokea uso wake ulionyesha mshangao
alipomuona Coleen akiwa na tumbo kubwa
ikiashiria ni mjazito lakini alitupokea vizuri na
hakuuliza chochote tukaingia ndani tukamkuta
Jake na jacob na wake zao wakiwa na watoto
wao mtoto wa jake alikua anaitwa Enrique na
mtoto wa jacob alikua anaitwa Shania nilifika
tukakaa kisha stori zikaanza tukisalimiana na
kuelezana maendeleo ya kazi Jacob yeye alikua
na garage yake kubwa tu! Jacob yeye alikua
mkuu wa polisi katika mji huuhuu ambao
tumekulia wa Virginia..........
baada ya maongezi hayo yote tukala chakula
kisha watoto wakaambiwa waende wakacheze
ili sasa tuanze kuongea kuhusu kikao ambacho
tumewaitia.....
NINI KITAENDELEA?

No comments