PENZI LA DADA - 25
"sasa John mmetuita embu
tuambiaeni mna nn"huyo alikua Jake baada ya
kua tumekaa kwa mda bila kusema kitu!
niliona mimi ndio ninatakiwa niwe msemaji
mkuu wa kilichotokea kwani nikimuangalia
Coleen alikua akitetmeka kwa woga!
nikaanza "Mama na wadogo zangu na shemeji
zangu kama muonavyo Coleen ana mimba"
"ndio tunamuona ana mimba embu tuambie
Coleen hyo mimba ya nani?"mama akauliza
"Coleen akaanza huku akijing'atang'ata ni
ya........"
"ikabidi niingilie kumsaidia ni ya kwangu"
"mama akasimama na kuuliza unasemaje
John"?
"mimba ni yangu mama"
"mama alikaa chini akiwa anaonekana kama
mtu asiyejua la kusema"
"Jake akaanza John unajua lakini
ulichokifanya"?
"najua ila ilitokeaa tu! na ikawa nje ya uwezo
wangu"
"jacob nae John ulichokifanya sijakipnda hata
kidogo kwann lakini umetudhalilisha kiasi
hicho"?
"ndugu zangu najua nimefanya kosa lakini
nampenda sana Coleen"
mama akaanza tena
"wanangu hivi baba yenu angekuepo
mngefanya hayo yote"?
"Mama tunajua ubaya wa tulichokifanya lakini
tunaomba mtusamehe tunahitaji ushirikiano
wenu"
wakati tunaongea hayo yote Coleen alikua
akilia huku nimemshika mkono
Jake na Jacob wakainuka na kuja nilipokaa
mimi na coleen kisha wakasema lakini mnajua
kitu mlichokifanya ni kinyume cha sheria
serikali ikipata habari John utafungwa
niliinama chini kisha nikajibu najua!
basi Jacob na Jake waksema sawa sisi tupo
pamoja na nyinyi nikamuangalia mama naye
akajibu sawa lakini mmeniuzi sana ila ndio
ishakua nitafanya nini licha ya kua nilikua
katika wakati mgumu lakini ndugu zetu
kutuunga mkono ilikua ni hatua nzuri..........
......................................
Basi siku hiyo tuliongea kwa mda mrefu mpaka
ukafika wakati tukawa,tumeacha kabisa zile
stori na kuendelea na stori nyingine ila wakati
wote Jacob hakuacha kunitania kwa kuniambia
John ntakufunga kwa ulichokifanya kwani mimi
ni mkuu wa polisi hapa na nina muarifu
nyumbani kwetu!
wote tulikua tukiangaliana kila anapoanzisha
hizo stri za kunifunga hadi wakati wa kulala
ukawadia watoto wote walilala katika chumba
kimoja lakini john na jake na wake zao
wakalala katika vyumba vyao"
ila mimi sikuwa hata na hamu ya kulala nafsi
yangu ilinisuta sikujua nilifanya nini hisia
zangu zilinichanganya mpaka nikatenda
dhambi ambayo sijui kama nitasamehewa
nilikaa nje kwa mda wakati Coleen akiwa ndani
kalala na mimi mwishowe nikaamua niingie
ndani nikalale...
Itaendelea..

No comments