PENZI LA DADA - 18
nilisogea karibu na kurudia
kumsalimia Coleen lakini bado hakuitika
ikanibidi niende kukaa pale alipokaa kisha
nikammuuliza
"Coleen mbona na kusalimia umekaa kimya
hauitiki?
Coleen akaanza kulalamika
"JOHN _unajua wew ni mgeni katika mji huu
harafu mda wa kutoka kazini ni saa kumi na
mbili hadi sasa hv saa 4 kasoro ndio unarudi
bila ya taarifa na sio kawaida yako hauoni
kama sio vizuri"????
aliyoyasema Coleen ni ukweli mtupu nilikosea
sana lakini nilijaribu kujitetea
"niliamua kuzunguka niangalie mandhari ya
mji"
" ndio uzunguke usiku"?
"nilikua na hamu ya kutembea kidogo"
"lakini mbona haukunitaarifu na simu
ukazima"?
"nilipitiwa tu na simu ilikua imejizima bila ya
mimi kujua"
Coleen akaguna
"mmmh! sawa JOHN lakin kumbuka usiwe
unaniweka na wasiwasi namna hii"
"nikamwambia usijali"
tuingie ndani mda umeenda kesho kazini
basi nikamshika mkono tukaingia ndani kisha
nikazima taa na kufunga madirisha nikarudi
tena aliposimama Coleen tukaanza kupanda
ngazi kuelekea juu vilipo vyumba vyetu baada
ya kumaliza ngazi niamuaga mimi nikaenda
chumbani kwangu na yeye akaenda chumbani
kwake.
baada ya kuingia ndani mimi nikavua nguo
nikavaa nguo za kulalia kisha nikajilaza
kitandani huku nikiwa najaribu kufikiria
kuhusu hata yangu na Coleen ghafla! Coleen
akaingia akaanza kuita John umelala"?
nikamjibua hapana karibu"
Colen akasema "ahsante wewe uliniahidi kila
siku utakua unakuja chubani kwanguna
kunisubiri mpaka nilale vipi leo"?
"leo nimechoka sana ndio mana"
"umeona sasa jinsi inavyokua ngumu kutimiza
ahadi"?
"nikamwangalia kisha nikamwambi samahani"
Coleen akajibu usijali natania tu! nilikuja
kukuomba samahani unajua ww mtu mzima
sikutakiwa kua na hofu sana wala kukuuliza
maswali meengi"!
nikamjibu usijali hata mimi ningekua kama
wewe kwahyo ni kawaida basi tukacheka wote
kisha akaniaga na kurudi zake kulala nami
nikaendela na yangu baada ya dakika kadhaa
nikapitiwa na usingizi.
nikaja kushtuka ni asubuhi nikaamka
nikajinyoosha kidogo kisha nikaingia bafuni
nikasafisha meno nikaoga, baada ya kumaliza
nikatafta sutiyangu nzuuri na kuivaa kisha
nikatoka nakuanza kuelekea sehemu ya chakula
ilipo ambapo wote huwa tunakutana hapo ili
tunywe chai mimi niende kazini na Coleen
watoto waende shule. Basi nilipofika
nikasalimia na watoto kwani nilikua cjaonana
nao siku nzima ya jana wakaanza kunihoji
"ulikua wapi mjomba"?? nikawaambia jana
niliwahi kazini kisha nikaenda kutembea usiku
kuangalia mazingira
watoto wakasema kesho
"na sisi tunaenda kutembea tutaenda wote "?
kabla sijajibu Coleen alikua anatoka chumbani
kwake nikasalimiana nae kisha nikamuuliza
mbona haukunitaarifu safari ya kwnda
mbugani???
akasema nilisahau sisi tulishafanya Booking
tangu mwezi uliopita kwahyo mimi mwenyew
nimekumbushwa leo na watoto na safari ndio
kesho kwahyo naomba unisamehe tu! twende
wote, nikamwambia basi sawa na mimi
nitafanya booking ya chumba leo tukakubaliana
kisha nikamalizia chai halafu nikawaaga
nikaondoka!
nilifika ofisini nikiwa na furaha kwani nilikua
napenda sana kutembelea mbuga za wanyama
kwani Chicago kulikua hamna mbuga kubwa
zaidi ya Zoo nilisalimia watu wote ofisini kisha
nikaingia ofisini kwangu na kuanza kazi zangu.
Dakika kama kumi baadae ghafla! Boss akaingia
na kusema leo kuna kikao ningepndaa twende
mimi na wwe
basi bila ubishi nikamwambia sawa
akasema
"una dakika 10 za kujiandaa kisha uje chini
utanikuta kwenye gari"
basi bila kuchelewa nikaanza kuweka vitu
vyangu vizuri kisha nikabeba kidadavuzi
mchakato changu(laptop) kisha nikatoka
kuelekea kwnye sehemu ya kuegeshea magari
nikakuta Boss kashakaa ndani ya gari tukaanza
safari njiani Boss akaniambia
"John ujue baada ya miaka 2 nategemea
kustaafu" kwahyo fanya kazi kwa bidii uje
ushike nafasi yangu
nikamwambia ntajitahidi Boss"
basi tuliendelea na maongezi ya kawaida
kuhusu kazi
Dakika 40 baadae tukawa tumefika katika hoteli
ya kisasa ambapo mikutano mikubwa hufanyika
hoteli hiyo inayoitwa Port elizaberth hotel.
basi tuliingia ndani na kwenda moja kwa moja
knye mkutano

No comments