PENZI LA DADA - 8
Coleen aliniangalia kwa huruma
kisha akasema "je ulishawahi kufanya kitu
kama hicho hpo kabla"???
nikajibu hapana leo ndio mara ya kwanza
akauliza tena "ulikua unafikiria nn kabla
haujapatwa na hisia zote hizo"!?
nikamjibu Tayna!
oooh! ndio mana kwahiyo nadhani ulikua
unafikiria ingekuaje kama mngekua ktk fungate
lenu si ndio"
Coleen siku zote alijua kuotea nnachofikiria
alikua sahihi kabisa hicho ndicho nilikua
nafikiria...................................................
...................basi akanipa moyo na kuniambia
usimfikirie sana kwani kikubwa unachoweza
kufanya ss ni kumuombea apumzike kwa amani
huko alipo, najua sana ilimpenda Tayna ila
mungu kampenda zaid na ss hatuna budi
kukubali hilo! akanisimulia wakati mume wake
alivyofariki kama sio watoto wak wwadogo
wawili basi alikua hatamani tena kuishi kwahyo
anajua yote nnayopitia, basi stori ghafla
zilianza kubadilka hatimaye tukajikuta tupo ktk
stori za kuchekesha wote tukiwa tunacheka na
kufurahi kutokana na stori za shule tuliongelea
hadi kuhusu rafiki yake mmoja ambaye
aliyeniunganisha nae hadi tukawa wote kisha
tukafumwa tukifanya mapenzi na mama yake!
nilimsimulia jinsi nilivyokimbia na chupi tu na
kuruka kutoka dirishani akikumbuka stori hyo
huwa anacheka sana.turifurahi hadi jua
likachomoza bila kulala tena na ilikua
tumepanga asubuhi na mapema kwenda
kutembelea jiji la Lio de jeneiro hadi lilipo
sanamu kubwa la YESU! ambalo ni kivutio
kikubwa jijini hapo likiwa limetengenezwa kwa
ustadi mkubwa na wa kuvutia sana...........
...................basi tulikunywa chai kisha
tukatoka nje kuchukua gari ambayo
tuliandaliwa na hyo hotel kwa ajili ya
matembezi yetu ndani ya mji,
basi tulipanda gari na kuanza safari ya kupitia
sehemu mbalimbali za mji wa lio de jeneiro
kwanza tukianzia ktk Zoo moja kubwa sana ktk
jiji hilo kama isifikavyo Brazil na America kusini
yote kua na nyoka wa kubwa sana basi hapo
napo tulibahatika kumuona nyoka mwenye
urefu wa futi 6
Coleen alikua muoga wa nyoka sana baada ya
kumuona yule nyoka alishindwa kumuangalia
na kukimbilia nilipo na kunikumbatia basi
nikamshika hadi, tulipotoka hapo ndipo
akaniachia!.................................................
...........majira ya saa 5 asubuhi tulifika ktk
academia moja ya mpira ambayo watoto wa
kibrazili wanaonyesha ujuzi wa kuuchezea
mpira.................. tuliburudika kwa muda
watoto wakionyesha kipaji cha ajabu na
kudhihilisha usemi kua mpira kweli kwao Brazil
basi hadi majira ya saa 7 mchana bado tulikua
hapo tukaamua kuondoka na kutafta mahala
tutakapokula chakula cha mchana.
dereva anaetuendesha akachagua mgahawa
mzuri kisha tukafika hapo na kuagiza chakula
cha asili ya kibrazil kilichokua kinaitwa "veis"
kilikua ni mchanganyiko wa viazi vya
kuponda,nyama ya kusaga na ngano
wote tulikula na kukifurahia chakula hicho
baada ya kushiba na kulipa deni letu........
tukainuka kuanza safari ya kuelekea ktk
sanamu la YESU dkk ishirini baadae tulikua
tushafika lilipo sanamu Coleen alifurahi sana
kuliko maelezo kila akicheka Coleen huwa kuna
vishimo vinatokea usoni siku zote huwa
napenda kumuangalia akicheka,
basi nililizika kuona Coleen kaafurahi sana
tukapiga picha za ukumbusho na kupata
historia kutoka kwa wahusika kisha saa moja
jioni tukaanza safari ya kurudi hotelini huku
mvua kubwa ikiwa inanyesha na radi zinapiga
Katika vitu vyote Coleen anaogopaa sana Radi
mda wote wakati tunalejea hotelini nilikua
nimemkumbatia...........baada ya kufika
hotelini tukaingia kwanza mgahawani na kula
mlo wa usiku huku mda wote nikiwa
nimemshika mkono Coleen kwani alikua
anaogopa sana! baada ya kumaliza kula
tukaanza safari ya kurudi chumbani ambako
tulikaa tukiwa tunaangalia Tv!
baada ya wote kuchoka tuliamua tulale, ila
Coleen alishindwa kwa kuogopa radi ilibidi
nihamie kitandani kwake ili kumtuliza..
Itaendelea....

No comments