MANCHESTER United watalazimika kulipa pauni mil 53 ya kuvunja mkataba wa beki wa kushoto wa Napoli, Faouzi Ghoulam (23).
Napoli tayari wameanza mazungumzo na beki wa Benfica, Alejandro Grimaldo, kama mrithi wa Ghoulam.

No comments