PENZI LA DADA - 11
nilifika alipolala Coleen na kumuangalia
huku mapigo ya moyo yakiongezeka speed
kutokana na hofu licha ya kuwa nilikua na
hamu ya kumuona tena Coleen lakini nilijua
wazi ninachokifanya hakikua kizuri na endapo
Coleen akishtuka, cjui atachukua uamuzi gani
lakini kufikilia hayo yote nguvu ya ibilisi ilikua
kubwa kwani licha ya kujua madhala yote hayo
nikapotezea na kutaka kutimiza azma yangu.
nilianza kushika gauni la Coleen ambalo ni
jepesi maalum kwa kulalia huku jasho
jembamba likinitoka hadi katika vidole mwili
wote ukawa baridi kama nimepigwa sindano ya
ganzi nilishika taratibu hadi nikafanikiwa
kuona ziwa lake la kushoto nilitamani kulishika
lakini hofu ikawa anaweza kuamka alafu ikawa
ni aibu kubwa kwangu akiona nilitaka
kumfanyia kitu kama kile, nikaamua kuacha
kushika na kufunua upande wa pili ili niweze
kuona maziwa yote mawili wakati naanza
kufunua upande wa pili ghafla Coleen akaanza
kugeuka niligeuza haraka haraka na kwenda
kitandani kwangu na kujifanya nimelala huku
jicho moja nikiangalia kama Coleen ataamka
moja kwa moja lakini hakuamka na kuendelea
kujigeuza mwishowe akatulia nikagundua
itakua ameendelea kulala lakini hofu kwangu
ikawa kubwa kuliko kawaida .....
nikaamua kujilaza ingawa nilijua kwa mawazo
niliyonayo nisingeweza kulala huku
nikimmkumbuka Coleen na mambo yaliyotokea
huku nikijilaumu pia kwa kitendo nilichotaka
kufanya nilijihisi nilikua mkosaji sana kwa
dadaangu ambae kaacha kazi zake ilimradi tu
anisaidie mm na matatizo niliyokua nayo
wakati nafikilia hayo nikakumbuka kumbe sikua
iliyofuata ndio ilikua siku ya mm na Coleen
kurejea nyumbani kwani mda tuliopanga kukaa
Rio de jeneiro ulikua umeisha nilitamani,
kuendelea kubaki kwani ingawa nilijua tukirudi
America nitahamia kwa Coleen lakini nilijua
ctaweza kupata nafac ya kulala nae chumba
kimoja kama ilivyokua ss hlo lilinifanya nikose
usingizi kabisa, nikajikuta nazidi kumfikilia
Coleen kivingine tofauti na dada nikajihisi
nampenda Coleen kimapenzi zaidi ya dada ila
bado nikawa sina uhakika kama nampenda
kweli au namtamani kwa jinsi alivyoumbika hilo
pia likawa linasumbua kichwa changu,....
nilikaa macho hadi asubuhi bila kulala Coleen
alipoamka akagundua hlo lakini akatania kwa
kusema "ulikua unaota safari au mbna
unaonekana haujalala hata kidogo"!
nikamwambia "natamani kurudi kazini ndio
mana"
akacheka kwani alijua kabisa nilidanganya
Coleen akaingia kuoga alipotoka akaniambia
"ndege inaondoka saa 6 mchana kwahyo
jiandae kwani tunatakiwa kufika mapema"
sheria za viwanja vya ndege unatakiwa kufika
lisaa limoja kabla ya mda uliopangwa ili
kuwahi kupita vizuizi haraka na usichelewe
kupanda ndege.
hilo hata mm nililitambua kwahyo Coleen
aliponiambia nijiandae ckubisha nikaamka na
kwenda kwenda kujiandaa nilipotoka nilikua
tayali nishavaa nikamkuta Coleen kavaa gauni
jekundu refu lililompendeza kupita kiasi
nikajikuta nimebaki mdomo wazi nisijue la
kusema zaidi ya wow!
Coleen akaniangalia na kusema "nimelinunua
hapa hapa siku ile tulipotembea kila mtu
kivyake"
do i look great?(akimaanisha je nimependeza)
nikasema ndio umpendeza sana
Coleen akasema "ahsante"
Basi tukaanza kufunga mabag yetu na kuanza
kutembea kuelekea kweny mgahawa uliokua
hapo hotelini ili tuweze kupata kifungua
kinywa kabla ya kuanza safari......
tulipokua mgahawani macho yangu hayakusita
kuenjoy uzuri wa Coleen nilimuangalia kuanzia
juu hadi chini kila nilipopata nafasi nilijikuta
nasahau hata kunywa chai Coleen akiwa
anakaribia kumaliza mm ndio naanza
Coleen akaniuliza "hautaki kuondoka Rio au
mbna tangu jana hauko sawa ?"
nikamuangaliabila kujibu kitu kwani huku
nikijisemea moyoni laiti ungejua ww ndio
unatesa mawazo yangu usingesema hivyo!
baada ya dk 40 ilikua tayali nishamaliza
kunywa chai tukaanza safari ya kuelekea airport
nikiwa njiani nikapigaa simu kwa watu
niliowapa kazi ya kuhamisha vitu vyangu
kuvipeleka mji anaokaa Coleen wakaniambia
tayari vilikua vishapelekwa.
ofisini nako walikua tayali washakamilisha
mipango yao ya kunihamishia katika ofisi za
ndogo zilizopo mji Port elizabeth kwahyo safari
yangu ilikua ni moja kwa moja kwenda
nyumbani kwa Coleen tulifika uwanja wa ndege
wa jiji la port elizabeth saa 7 usiku tukachukua
tax hadi nyumbani kwa Coleen ambako tulikuta
watoto wake wawl wakiwa washalala Coleen
akanionyesha chumba ntakachokua nnalala
tukaagana na kila mmoja akaingia chumbani
kwake..
Itaendelea....

No comments