PENZI LA DADA - 12
baada ya kuonyeshwa chumba
ntakachokua nnalala na Coleen na kuagana
niliingia ndani na kuanza kujiandaa ili niweze
kulala ktk makazi yangu mapya kwa mara ya
kwanza haikua rahis hata kidogo nilishapazoea
Chicago sana nilijuana na watu wengi
wakiwemo wafanyakazi wenzangu ss nahamia
ktk ofisi na Nyumba mpya mbali na Coleen na
wapwa zangu hakuna nnaowajua ktk mji huo
kwahyo mawazo yalikua mngi yaliyonisonga
ckuweza kupata usingi kwa haraka,, masaa
yakapita nikiwa nimekaa kitandani huku
nikfikiria nitaanzia wapi ila mwishowe nikajipa
moyo pengine huu ndio utakua mwanzo a
maisha mapya huku pia na nikikumbuka kuwa
nitakua karibu na Coleen ikawa ss afadhali
hata mawazo yakapungua na tabasamu likatoka
walau kidogo.............
sikujua ilikua saa ngapi nilipitiwa na usingizi
ila nilikuja kushitushwa na sauti ya watoto
wwil waliolukia kitandani na kuanza kuvuta
shuka kufumbua macho na kuwaangalia alikua
Sweet ambae ni mkubwa na mdogo wake
katrina ni mda mrefu ulipita tangu nionane
nao kwa mara ya mwisho walikua wadogo sana
ss hv wote walikua amekua nilisalimiana nao
kwa mda kisha nikatoka nao kwenda sebureni
ambako tulimkuta Coleen akiwa anaandaa chai
huku akiwa kavaa t-shirt ndefu peke yake bila
kivazi kingine chochote nikajikuta naanza
kutathmini miguu iliyoumbika ya Coleen, bila
kufikiria wakati na mahala tulipo Coleen alikua
na mguu mzuri yeny kila sifa ya kuitwa mguu
wa msichana mrembo huku nikipanda taratibu
hadi sehem za mapajani huku nikiomba na
kutamani walau ile t-shirt ingpanda juu kidogo
lakin hlo halikutokea....
siku nzima ilikua njema kwani nilikua mwnye
furaha kutwa nzima huku Watoto wa Coleen
sweet na katrina akizidi kuioongeza furaha
yangu na kunifanya niamini ule msemo watoto
ni matunda mazuri ya familia ilikua kama
ajabu lakini wakati wote huo ckumkumbuka
Tayna hata kidogo hadi pale Colen alipogusia
swala la biashara ambayo mm na Tayna tuliua
tumeanza nayo itakuaje haswa baada ya Tayna
kua hatuko nae tena.....
nilikaa kimya kwa mda bila kujibu kitu hadi
Coleen akasema
"John samahani kama nimekukumbusha jambo
linalouma kama hlo nisamehe na c lazima
ujibu"
nikamkatisha kwa kumwambia
"usijali kawaida unajua hatua tuliyokua mm na
Tayna ilikua tunaelekea ktk hatua nyingne kuba
maishani nayo ni ndoa mara nikisikia jina lake
nakumbuka mengi sana"
Coleen akanishika mkono na kuniambia
"naomba uwe na nguvu cku zote ktk wakati
huu mgumu"
bila kusita nikasema ahsante sana......huku
nikshika mkono wa Coleen ambao ulikua laini
na nyororo
baada ya maongezi marefu tukaamua kutoka na
kuzunguka kidogo mtaani kisha turudi na
champaigne ambayo tungekunywa wakati
tukiwa nyumbani mitaa ya Port elizabeth ilikua
mizuri ni iliyotulia kama Chicago ila 2 kulikua
hakuna mpishano wa watu wngi kwani ni mji
mdogo ukilinganisha na Chicago. Baada ya
kama nusu saa ya matembezi Coleen akasema
turudi nyumbanai ss anagarau umeona sehem
ndogo inayozunguka mtaa wetu.....................
tulipita dukani na kuchukua champaigne
tulichukua yeny kilevi ambayo tulihisi
ingetufaa zaidi baada ya kufika nyumbani
ulikua ni wakati wa kupeleka watoto wakalale
tuliwapeleka hadi chumbani kwao na
kuwazimia taa kisha kuwaagawote
walinikimbilia na kunibusu shavuni!!! nilifurahi
sana upendo waliokua nao kwangu ingawa ni
muda mrefu tulikua hatujaonana, tulitoka na
Coleen moja kwa moja hadi mahali ambako
Coleen alitengeneza sehemu maalamu ambako
huwa anapatumia kupata kinywaji nilichukua
glasi huku nikmimina champaigne ktk glasi
zetu kisha nikakaa na kuanza kuonga vitu vingi
vinanyohusu mji wa port elizabeth..............
wakati tunaongea nilimchomekea Coleen swali
mlionana wapi na mume wako mana mda fupi
baada tya kuhamia mji huu ukatangaza
kuolewa?? haya yalikua maswali ya kawaida
kwetu kuulizana kwahyo, Coleen bila kusita
akaanza kunijibua...
Itaendelea

No comments