gusa apa uweze kusoma hii hadith
WHY ME_________(07)
Na:Stephano mwaimu
Contact_________ 0715293971
Ilipoishia
Anna aliingia ndani huku akiwa anawasi wasi wa kuonekana na baba yake.
Alifungua mlango wa kuingia ndani taratibu kisha akajitahidi kuufunga taratibu alipomaliza kufunga akaendelea kunyata kuelekea chumbani kwake, alipokaribia kwenye mlango wa chumbani kwake gafla taa zote za mule ndani akashtuka na alipogeuka pembeni uso wake ulitazamana na baba yake mzazi.

SHUKA NAYO SASA
Anna kwa aibu aliinamisha uso wake chini huku mkononi akiwa amebeba viatu, baba yake alikaa kimya sekunde chache huku akimuangalia kwa hasira kisha akamuuliza
"Unatoka wapi?"
Anna hakuwa na chakujibu zaidi ya kuinamisha uso wake chini, Aliongea tena kwa ukali huku akimsogelea
"Si naongea na wewe, unatoka wapi sahizi?"

Anna hakuwa na lakujibu zaidi ya kukaa kimya tu, Kitendo kilichomfanya mzee Tony amshushie kipigo huku akiwa anaongea kwa hasira
"Kipi ambacho unakosa humu ndani mpaka inafikia hatua ya kuondoka usiku"
Wakati akiendelea kumshushia kipigo gafla pesa ambazo mlinzi alimrudishia zikadondoka chini mzee Tony akaongea kwa sauti
"Ahaa kumbe inamana ushaanza kujifunza ukahaba sindio"
"Apana baba"
"Na hizi pesa umezipata wapi tena usiku"
Mzee Tony hakuwa na huruma hata kidogo aliendelea kumpa adhabu kali Anna huku akiwa anataka atamke kwa mdomo wake mwenyewe kuwa ametoka wapi, Anna alikubari adhabu lakini hakuweza kuongea chochote.
Anna alivumilia kipigo na hatimaye akapata nafasi na kukimbia chumbani kwake, bila ya kujua kuwa ile picha imedondoka pale pale sebureni, baba yake aliendelea kuongea kwa sauti ya ukali.
"We lala ikifika asubuhi adhabu inaendelea mimi upumbavu sitaki kabisa, ungejua nilivyokuwa na hasira ningekuumiza bahati yako umekimbia"
Mlinzi alimsikia vyema Anna akiwa analalamika ndani kutokana na adhabu ambayo alikuwa anapewa na baba yake, kitendo ambacho hata yeye hakuweza kuwa na amani hata kidogo, kichwa chake kilijaa maswali tofauti tofauti ambayo hayakuwa na majibu.

Mzee Tony aliziokota zile pesa na kuzihesabu na alipogeuza macho yake upande wa pili aliona picha na kuiyokota.
Aliitazama ile picha na kusema kwa sauti ya ukali
"Kumbe huyu ndio mpumbavu ambaye anakufanya usilale ndani sindio, na anaonekana ni mtu mwenye pesa nyingi kama usiku mmoja ameweza kukulipa laki nne, sasa nitamuonyesha kuwa mimi sio mtu wa mchezo hata kidogo"
Anna alivyosikia maneno yale ndipo aliposhtuka na kuangalia picha ambayo aliificha ndani ya brauzi ambayo ameivaa haikuwepo, alianza kuogopa kutokana na kumfahamu vizuri baba yake huwa akichunguza kitu lazima akipatie ufumbuzi.

Masaa machache baadaye jua likachukua nafasi yake na mwanga ukatawala uso wa dunia.
Mzee Tony aliamka na kwenda kugonga chumbani kwa Anna.
Anna alijua dhairi kuwa baba yake ndiye ambaye anagonga mlango kwani nyumba ile walikuwa wakiishi wawili tu yeye na baba yake.

Anna alinyanyuka na kufungua mlango macho yake yalitazamana na baba yake mzazi ambaye uso wake ulijikunja kutokana na hasira, Anna alimsalimia baba yake akamuangalia tu kwa macho makali na kumwambia.
"Nimekuja nataka nikuulize vitu vitatu tu, na kama hautanijibu ipasavyo nitaendeleza kipigo kile cha alfajili kitakuwa mara mbili yake, Naomba uniambie jana ulilala wapi na kwa nani? Na hii picha ni ya nani?"
Anna hakuwa na lakuongea zaidi ya kuinamisha kichwa chini huku baba yake akiwa amesimama pembeni anasubiri majibu ya maswali yake.

Mzee Tony baada ya kuona Anna hana majibu ya kumpatia alimzaba kofi ambalo lilimshtua Anna akadondoka chini,
Mzee tony aliendelea kuongea kwa sauti.
"Nakwenda kuoga nikirudi naitaji majibu ya maswali yangu"
Anna alinyanyuka na kuingia chumbani kwake huku machozi yakiwa yanamchirizika mashavuni.

Baada ya nusu mzee tony aliku tayari kashamaliza kufanya mambo yake alitoka nje na kumuita mlinzi ambaye alikuja huku akiwa na wasiwasi. Mzee tony alinyanyua mdomo wake na kuongea na masunga
"Masunga nimekuita hapa nina maswali yangu matatu naomba unipe majibu ya kila swali ambalo nitakuuliza, Anna jana ulipokuja kwako alikwambia anakwenda kwa nani mpaka ukafikia hatua ya kumfungulia mlango?"
Mlinzi alijua kuwa akimwambia ukweli Anna ataendelea kupokea kipigo na kama atamwambia uwongo na akachunguza kisha ukweli akaupata basi yeye kibarua kitaota nyasi.
Mzee tony alimtazama vizuri usoni bwana Masunga na kumuuliza.
"Unafikilia nini hukumbuki au nirudie swali?"
"Apana boss ila ki ukweli sifahamu jana alienda wapi na ndio maana hata mimi nikawa na mashaka"
"Sawa labda nikuulize swali la pili, kipi hasa kilichokushawishi mpaka ukakubari kumfungulia geti wakati unajua kuwa yule ni mtoto wa kike na mara kibao nilishakupaga angalizo hapa getini"
"Samahani boss"
"Msamaha tulishaombana usiku sasa hivi nataka unijibu tu maswali yangu"
Bwana masunga alinyamaza kwa sekunde kadhaa kisha akamjibu
"Unajua boss ukiniuliza mimi maswali hayo utakuwa unakosea alivyokuja kuniomba nimfungulie mimi nilijua wewe ndio umemtuma sikuwa na sababu ya kumkatalia"
Mzee Tony alimuangalia uwongeaji wake wa kubabaika kisha akamwambia
"Naisi kuna mchezo ambao unaendelea baina yako na mwanangu Anna sasa akipata ujauzito wewe ndiye ambaye utamtafuta mwenye huwo ujauzito"
Masunga alishtuka na kushikwa na kigugumizi cha gafla, Mzee tony alipomaliza kuongea maneno yale alirudi ndani na kwenda kugonga tena kwenye chumba cha Anna.

Anna alifungua mlango kwa mara nyingine huku akiwa analia, huku baba yake akiwa anamtazama na kumuuliza
"Kinachokuliza ni kipi, hiyo adhabu unayoipata angeipata huyo mpumbavu ambaye anakufanya haulali ndani"
Anna hakuongea kitu zaidi ya kuendelea kulia tu. Mzee Tony aliongea
"Anna hii picha nataka kujua ni ya nani?"
Anna hakuongea chochote zaidi ya kuendelea kulia tu.

Mzee Tony alimuangalia Anna kwa jicho la hasira na kumwambia
"Si umekataa kusema, sasa nafanya uchunguzi mimi mwenyewe hata kwa gharama yoyote lazima nimpate, na kuanzia leo hakuna kutoka ndani mpaka shule ifunguliwe pumbavu wewe"
Alipomaliza kuongea maneno yale alitoka nje na kumuita mlinzi.
"Masunga nimekuita hapa nataka unisaidie kitu kimoja"
"Kipi boss"
"Wewe hapa kijijini sio mgeni, unaweza ukamtambua huyu kijana?"
Masunga baada ya kuonyeshwa ile picha alikataa na kusema hamfahamu.

Mzee Tony alirudi ndani kisha akatoka na kumwambia mlinzi.
"Nifungulie geti, nakupa onyo Anna asitoke nje wiki hii yote"
"Sawa boss"
Mzee Tony aliingia mtaani na kupita baadhi ya mitaa akiwa anaonyesha ile picha kama kuna mtu ambaye anamfahamu. Ndipo kijana mmoja alipomwambia mzee Tony
"Namfahamu huwa tunafanya kazi pamoja ila kwa asubuhi hii nadhani atakuwa pale ambapo wanafyatua matofari"
"Anaitwa nani?"
"Mzee inamana mtu unayemtafuta haumjui jina lake! mbona unanishangaza"
Mzee Tony hakuchoka akamuuliza swali ambalo lilimshangaza yule kijana.
"Ameoa au anakaa kwa wazazi"
"Mzee bado anasoma, maisha ndio ambayo yanamfanya apambane ili asipoteze elimu"
Wakiwa bado wanaendelea kuongea Stephano alipita maeneo yale yale huku akiwa amebeba madumu ya maji.
Kijana yule ambaye alikuwa anaongea na Mzee Tony alimshika mkono na kumwambia
"Mtu ambaye unamuulizia yule pale ametoka kuchota maji"
"Ahaa asante kijana"
Baada ya kumaliza kuongea maneno yale aliondoka haraka huku akiwa anaita kwa sauti ambayo ilimfanya Stephano asimame

Alifika mpaka alipokuwa stephano, Stephano alimtazama kwa umakini ila alikuwa mgeni machoni mwake, Alimsalimia cha kushangaza alitoa maneno ambayo stephano alishangaa na kuuliza
"Kwani wewe ni nani?"
Mzee alijibu kwa jazba kubwa na kumwambia
"Mimi ni baba wa binti ambaye ulimpa hii picha"
Aliitoa ile picha na kumuonyesha, Stephano alishtuka na uso wake ulionekana dhairi kuwa ulikuwa na wasiwasi, Mzee Tony akamuuliza swali lingine ambalo lilimpa maswali mengi sana Stephano.

************ITAENDELEA***********
STEPHANO USO KWA USO NA MZEE TONY, JE NI SWALI GANI AMBALO MZEE TONY ALIMUULIZA STEPHANO
TUKUTANE SEHEMU YA NANE YA SIMULIZI HII YA WHY ME
No comments