why me hii apa inaendelea ingia hapa uweze kuisoma ki utulivu
WHY ME_________(05)
Na:Stephano mwaimu
Contact_________ 0715293971
Ilipoishia
Alipomaliza kuongea maneno yale aliwaruhusu kuingia madarasani, Anna alizidi kupapasa macho huku na kule kwenye umati ule wa wanafunzi hatimaye akapata nafasi ya kumuona frank, alimfata na kumsalimia cha kushangaza frank alimtolea maneno ambayo yalimfanya Anna abaki mdomo wazi.
SHUKA NAYO SASA
"Usharudishiwa pesa zako?"
Anna alishangaa na frank aliendelea kuongea
"Yule wewe akupendi ila wewe ndio unajipendekeza kwake mwenzako hana mpango na wewe kabisa, na kama unabisha jiulize si ulimpelekea ela ya ada sasa yuko wapi umemuona kaja?"
Alipomaliza kuongea maneno yale aliingia darasani na kuketi kwenye kiti chake, Anna hamu yote ya kufanya mtihani ilimuisha kama ni kitumbua basi kilikuwa kimeingia mchanga, aliingia darasani akiwa kwenye hali ya unyonge sana sekunde chache mwalimu wa mathematic aliingia na darasa zima likanyanyuka na kumsalimia kasoro Anna peke yake, kitendo kilichomfanya mwalimu kumfata na kumuuliza maswali
"Wenzako wamesimama wewe umekaa vipi unaumwa?"
"Najisikia vibaya"
Baada ya kujibu vile frank akadakia na kuongea kwa sauti ya juu
"Mapenzi mubashara"
Darasa zima likacheka mwalimu akageuka na kumuangalia aliyeongea maneno yale kisha akauliza kwa sauti
"Hivi ni kweli au?"
Hapo yakapatikana majibu tofauti tofauti kitendo kilicholeta minong'ono ndani ya darasa na kuleta sintofahamu, wakati mwalimu akiwa bado anajaribu kumuuliza Anna gafla mlango ukagongwa kuashiria kuna mtu anataka kuingia ndani, Mwalimu alimuamlisha aingie mlango ukasukumwa hakuwa mwengine alikuwa ni Stephano, Frank alishtuka na Stephano alimsalimia mwalimu na kwenda kukaa, muda wote huwo Anna alikuwa ameinamisha kichwa kwenye meza na alikuwa hatambui chochote.
Mwalimu alisimama mbele ya darasa na kuongea
"Munakumbuka wiki iliyopita niliwachapa fimbo kutokana na kushindwa kufanya swali dogo tu, Sasa ili kwenye mtihani wangu usije ukakuta swali kama lile ukakosa inabidi niliandike hapa na Stephano atusaidie kusolve"
Anna alihisi kama anaota au kasikia vibaya alichokitamka mwalimu na kujiuliza
"Inamana Stephano amekuja shuleni au"
Baada ya kumaliza kujiuliza aliamua kunyanyua kichwa ili aweze kuhakikisha kweli Stephano alikuja shule tena akiwa nadhifu tofauti na siku zote.

Mwalimu alichukua chaki na kuliandika tena swali ambalo kila mwanafunzi analikumbuka vyema kutokana na adhabu walioipata kutoka kwa mwalimu yule, Stephano aliliangalia lile swali kwa umakini wa hali ya juu kisha akasimama na kwenda mbele ya ubao na kuchukua chaki na kusolve swali lile huku akiwa anatoa sauti ili wanafunzi wenzake waweze kutambua jinsi ya kufanya maswali kama yale.
Alichukua dakika kama tatu kumaliza swali lile na kuweka chaki chini, Anna alikuwa mtu wa kwanza kumpongeza kwa kupiga makofi kabla ya darasa zima kuambiwa wampongeze kwa kumpigia makofi ikiwa ni ruhusa kutoka kwa mwalimu, Anna alizidi kupiga makofi kwa nguvu zaidi mpaka baadhi ya wanafunzi wakakereka alifanya hivyo huku akizidi kumuangalia frank ambaye hakutaka kabisa kumuangalia Anna.
Mwalimu kabla ya kufuta ubao akawauliza
"Kuna mwenye swali"
darasa zima likaitikia
"Hakuna"
Mwalimu aligawa karatasi za mtihani wa mathe, huku akiendelea kusisitiza
"Mtihani huu atakayepata chini ya 50 atapata adhabu ya kuchimba shimo la takataka"
Baadhi ya wanafunzi walikuwa hawana wasiwasi kabisa walikuwa wakisubiri tu filimbi ipulizwe na kipute kianze Stephano aligeuza macho yake kushoto na kulia hatmaye yakagongana na macho ya Anna wote wakatazamana Stephano akaliona tabasamu pana alilolitoa Anna.

Mwalimu alipomaliza kugawa karatasi za mitihani aliwaruhusu kuanza mtihani, kila mwanafunzi alikuwa bize na mtihani.
Baada ya lisaa limoja na nusu Stephano alikusanya karatasi yake na kutoka nje ya darasa huku baadhi ya wanafunzi wakiendelea kuumiza kichwa.

Nusu saa baadaye Frank alitoka kwenye chumba cha mtihani na kumkuta stephano amekaa chini ya mti, alifika mpaka pale na kuanza kucheka kwa sauti ya juu kitendo kilichomfanya stephano amuulize
"Vipi mbona umefurahi sana umefurahishwa na nini?"
Frank aliendelea kucheka na kumwambia
"Kumbe staki nataka sindio"
"Unamaana gani kuongea hivyo?"
"Jana si ulisema unamrudishia pesa zake, haya umemrudishia?"
"Frank nimeona nisije nikakosa mtihani nimetumia kiasi kidogo cha pesa alafu nikipata pesa yangu"
Kabla ajamaliza kuongea Frank akacheka na kumwambia
"Siuseme tu kama kuanzia leo tumuite shemeji"
"Frank hebu tuachane na hayo manake ninahisi yanayokuja mbele yangu ni makubwa kuzidi haya"
Frank alicheka na kubadirisha maada
"Vipi mtihani?"
"Mbona mtihani rahisi sana"
"Stephano unazingua sana mtihani watu mpaka sasa wamebaki darasani na wengine wanatamani hata waongezewe masaa wewe unasema rahisi"
"Mimi nakwambia huu mtihani kama sipigi B frank mathe sifanyi tena mpaka namaliza shule"
Wakiwa wanaendelea kupiga stori za hapa na pale gafla alikuja binti wa makamo na kuwasalimia kisha akauliza
"Samahani wakina kaka, nimeagizwa Stephano ni yupi kati ya wawili nyie"
Frank na Stephano waliangaliana kisha frank akammwambia
"Huyo uliesimama karibu yake"
Baada ya kuambiwa vile aliingiza mkono mfukoni na kutoa kikaratasi na kumkabidhi na kumwambia
"Kuna mdada kaniambia nikuletee"
alipokea na kumwambia
"Ok asante"
Alipofungua na kuisoma hakuwa mwengine alikuwa ni Anna akimuomba azunguke nyuma ya darasa. Alikikunja kunja kile kikaratasi na kukitupa frank kama alihisi kitu ndipo akaongea huku akiwa anacheka
"Usijifikilie jinsi ya kuniaga we nenda tu utanikuta"
Stephano alimuangalia na kuanza kucheka na wote wakacheka frank akaongeza kwa kumwambia.
"Ushakula vyawatu"
"Hebu acha upumbavu"
Stephano alinyanyuka na kuzunguka nyuma ya darasa, alimkuta Anna amekaa chini ya mti akimsubiri, alifika na kumsalimu Anna aliitikia na kumwambia
"Utasimama mpaka saa ngapi nina maongezi marefu sana ningekuomba ukae chini"
Stephano alifanya kama alivyoambiwa Anna,

Anna hakuwa na kingine cha kuongea, alimueleza kitendo kikichotokea asubuhi kisha akamuuliza swali
"Hivi unanipenda kweli au jana uliniitikia tu"
Stephano alifikilia kwa sekunde chache na kumjibu
"Nakupenda kama nilivyokwambia, ila Anna hapa sio mahara pake pa kuongelea mambo hayo hapa tupo shuleni unaonaje tukionana baadaye tukaongea vizuri?"

Anna alikubari na Stephano akaondoka na kumkuta frank palepale. Stephano akakaa chini na Frank akamuuliza
"Vipi mbona umerudi mnyonge kulikoni?"
"Swali zuri lakini mbona unacheka?"
"Imenibidi nicheke kwa sababu ulivyoondoka ni tofauti na ulivyorudi"
"Ni kweli ila kwani asubuhi wewe umemwambiaje?"
"Mimi nimemwambia ukweli kama haumpendi"
"Frank umeshaharibu sasa, na ndomana nilivyofika pale akaniuliza kuwa nampenda kweli au namdanganya"
"Kwahiyo ukamjibu vipi?"
"Nikamwambia nampenda"
"Sikiliza sasa kama haumpendi si umwambie ukweli yanini kumdanganya"
"Frank usiwe kama mtoto mdogo kwa mfano ningemwambia simpendi na yeye angesema nirudishie pesa zangu wakati na mimi nishazitumia unadhani kingetokea nini"
"Mimi simo mtajuana wenyewe"

Muda mchache kengere ya darasani ikapigwa wanafunzi wakaingia madarasani ili waweze kufanya mtihani wa pili.
MASAA MATATU MBELE,,,,,
Muda wa kuondoka ukafika Anna akamtafuta stephano na kuendelea kuonyesha hisia zake mbele yake, Stephano akaamua kumpa ahadi za kumpenda milele
Wiki ya mitihani ikaisha ikafuata wiki ya rikizo fupi ili kuikaribisha sikukuu ya pasaka.
Zilipita siku nne Anna akiwa hajamtia machoni Stephano, Anna aliapa kwa mungu kuwa hatoweza kulala bila ya kumuona stephano, kibaya zaidi Mzee Tony ambaye ndiye baba yake mzazi siku hiyo alikuwa amerudi mapema kutoka kazini na kuketi sebureni akitazama runinga.
Alipika chakula mapema huku akiwa anapiga plani ya kupita getini ambapo mlinzi alikuwa yupo makini na kazi yake.

Ilipofika saa tatu mzee Tony aliingia chumbani kwenda kulala, Anna alikuwa chumbani kwake muda wote akimsubiri baba yake alale ili yeye aweze kutoroka.
Anna alibeba chakula kwenye hotpot ambalo aliliandaa muda mrefu na kutoka ndani huku akiwa ananyata,
Muda mchache akafanikiwa kutoka ndani kazi ikawa ni kumdanganya mlinzi ambaye alikuwa amekaa getini,
Alishika kandambili zake mkononi na kuelekea getini, alipokaribia mlinzi alitaka kuongea kitu ila Anna aliweka kidole mdomoni ishara ya kumwambia anyamaze na alipomkaribia alimdanganya lakini mlinzi alimkatalia tena aliongeza kwa kumwambia
"Unataka nikamwambie baba yako, nakuomba rudi ndani"
Anna akaongea kwa sauti ya chini
"Kama hautaki sawa mimi nilikuletea zawadi"
Anna akaingiza mkono kwenye brauzi na kutoka na kitita cha pesa kitendo kilichomfanya mlinzi macho yamtoke.

***********ITAENDELEA***********
MLINZI KAKUTANA NA KIBARUA CHA PILI
JE HELA ALIZONAZO ANNA ZITAMSHAWISHI MLINZI AU LA!

TUKUTANE SEHEMU YA SITA KWENYE SIMULIZJ YETU HII YA WHY ME
No comments